- THE ONE RISE OF TECHNOLOGIES

Breaking

THE ONE RISE OF TECHNOLOGIES

Winner is A Loser Who Never Give Up

NASA YAVUNJA REKODI YA DUNIA KUWA NA INTERNET YENYE KASI ZAIDI DUNIANI.
NASA! Inaonekana kama neno linalofahamika sana?  
NASA ni Shirika la anga za mbali na Utawala wa anga lililopo 
nchini malekani. Iliundwa mnamo Julai 29, 1958 inakuja chini
 ya mamlaka ya Serikali ya Malekani.

Mtandao ni kitu muhimu sana sasivi,hufanya maisha kuwa rahisi,
Taharifa muimu ambazo miaka ya 2000 kurudi nyuma ilikuwa ina
ina chukua hata mwezi mzima kutufikia ya mkini usi ipate kabisa,
 
je zamani speed ya internet kwenye sim zetu za batani ilikuwaje ?
ha ha walio wahi ku download kwenye sim izo miaka 2005 kuludi
nyuma wana elewa,uki download nyimbo tu ya mp3 (audio) ya MB3 tu
basi utaisubiri robo saa nzima.
 
kwa sasa ivi dunia imepiga hatua kubwa hasa kwenye upande mawasiliano
kwa wale watumiaji wa internet kwaa sasa unaweza ku download MB 3 kwa 
sekunde 30,muve ya GB 1 basi ni nusu saa au lisaa ikiwa mtandao umeamka
 vizuri siku iyo.
 

NASA Wanavunja rekodi hii ya kasi ya internet kwa dunia nzima. AMBAPO ni
kasi ya GB 91 KWA SEKUNDE kasi ambayo ni mala 13000 ya kasi ya internet
ya kawaida nchini malekani,hapa ndipo tuna jiuliza jee? kama ni hivyo Tanzania
ni mala ngapi?
 
 


No comments:

Post a Comment

Featured post

HOME DOCTOR

Get Your Copy The Health care That Every Household Should Know In a emergency Situation When Help is not on the way, No Doctor, No Help From...