HIFADHI NAMBA ZA SIMU BILA KUPOTEA HATA KAMA SIMU IKAIBIWA,ZITARUDI ZOTE - THE ONE RISE OF TECHNOLOGIES

Breaking

THE ONE RISE OF TECHNOLOGIES

Winner is A Loser Who Never Give Up

HIFADHI NAMBA ZA SIMU BILA KUPOTEA HATA KAMA SIMU IKAIBIWA,ZITARUDI ZOTE

HIFADHI NAMBA ZA SIMU BILA KUPOTEA HATA SIMU IPOTEE

Hello!  Hope uko poa? Mala nyingi umekuwa ukipoteza namba za simu za watu muhimu sana labda inatokana na kuibiwa simu (oooh wezi wanatufelisha kweli🙅🙅🙅).

  Basi huta poteza tena namba za simu za watu muhimu,unacho takiwa kufanya ni kwa fwata maelekezo muhimu yafuatayo.

NOTE. Shika Email yako (google account Gmail) na password usi visahau au viandike kwenye kitabu chako cha kumbu kumbu kwani ni vitu muhimu sana kwa watumiaji wa smartphone.
  1. Kwanza fungua app ya #contact na hakikisha jina la kwanza kwenye #contact book ni la kwako ulilo liingiza wakati unaitumia sim yako kwa mala ya kwanza , mfano..



  2. Crick #back nenda kwenye apps zako na itafute app ya setting na ifungue ,mfano
  3. Shuka chini na tafuta #accouts au #accounts manager na ifungue,mfano
  4. Ingia kwenye account ya google kwa kutafuta neno #Google likiwa na icon ya G na fungua hapo, mfano
  5. Chagua account yako ya google (Gmail) na ifungue ili kufika sehem tunayo ihitaji,mfano
  6. NOTE. Ikiwa bado huna account ya google (Gmail) fuata maelekezo kwa ku bonyeza linki  { jinsi ya kufungua account ya Google (Gmail) }, kama unayo tuendeleee hapa hapa
  7. Hapa sasa itakuwa tumefika sehemu lengwa tunayo itaka, tafuta neno #contacts ,mfano
  8. Ukisha liona lilipo unacho takiwa kufanya ni switch on /kuwasha kitufe kilichopo pembeni ya ilo neno ili kuluhusu google kufanya synchronizing (kukuifazia namba zako za simu kwenye account yako ya google (Gmail) NOTE.Kama utakuta pako on luka step hii ,mfano
  9. Kwa kufany ivo utakuwa umeruhusu namba zako ziifaziwe sehemu salama, Malizia kwa ku bofya vi nucta vitatu vilivyo juu kulia mwa simu yako (option) na u bofye nono #synchronize now au #sync now ili google waanze kazi ya kuifazi namba zako kila siku unapo #save new contact ,mfano
  10. Apo google wataanza kazi yako ulio wapa ya kutunza namba zako za simu na utaona vi duara vikizunguka zunguka kuashiria kazi imeanza na apo uta kuwa ume maliza,mfano
  11. Je ?simu imepotea au ume badili simu,au umeuza simu na uka sahau kutoa namba za simu au ume reset sim na namba zote hujui pakuzipata 😻😻 kama ulifanya hivi basi namba zako utazipata unachotakiwa kufanya ni ku log in (sign in) kutumia Google account ulio kuwa unaitumia kwenye simu ilio potea au kupata tatizo alafu ludia step namba (1 mpaka 9) alafu nenda kweny namba zako za simu na ushuudie miujiza 🙌🙌🙌🙌
  12. Natumaini umejifunza kitu ,tafadhari subscribe ili kupata dalasa jipya kila siku na share wengine wajifunze (aah usiwe mchoyo 🙌🙌🙌)

No comments:

Post a Comment

Featured post

HOME DOCTOR

Get Your Copy The Health care That Every Household Should Know In a emergency Situation When Help is not on the way, No Doctor, No Help From...