How to install IOS on Android smart phone - THE ONE RISE OF TECHNOLOGIES

Breaking

THE ONE RISE OF TECHNOLOGIES

Winner is A Loser Who Never Give Up

How to install IOS on Android smart phone



THE ONE TECH RISE OF TECHNOLOGY
IPHONE OS KWENYE ANDROID.
Oooowkei. I hope uko poa . leo nakuonesha njia lahisi  yak uiweka na kuitumia OS ya iphone kwenye SIM janja za android , njia ii ni rahisi na haina hasari zozote kwenye sim na faida yake unakua una OS zote mbili I mean ya ANDROID na  IOS (IPHONE) SO BILA KUPOTEZA MUDA  TUNAANZA KAMAAAAAA IVIIII…
1.  Download Clean UI hapa   THE ONE
 Iphon lock screen hapa   THE ONE
   Contol Center hapa          THEONE
2.  Bahada yak u install Clean UI Bofya HOME key na select Clean UI alafu weka always kama ivii
3.  Tayari utakua una OS ya iphone na sim yako itaonekana kama ifuatavyo
 
4.  Kifuatacho bado sim yako itakua ina notification bar ya android
 
sasa ili kuiluhusu notification bar ya iphone kufanya kazi nenda kwenye Clean UI setting Hub ifungue na ingia kwenye  components for clean UI
then kwenye neno notification weka on kwa kugusa kiduara kilichopo mbele ya neon notification then kuna neon litakuja kwa chini Notification setting
ingia apo ukikuta notification service off ingia hapo tafuta neno CleanUI
then paweke on then hit HOME.
Vuta notification bar yako ili kuona kama iko active na itaonekana kama hivii
5.     Bahada ya kufanya setting za Clean fungua iphone lock screen icon
Ili kwenda ku activate iphone lock screen ianze kufanya kazi ya kuilinda sim yako dhidi ya wapekuzi na wambea,ok bahada ya kuifungua phone lock screen iactivate kwa kuweka tiki mbele ya neno activate screen lock
Then shuka chini kwenye neno “Enable PIN” Kwa kuweka tiki itakuomba uingize passcode utakazo kuwa unatumia  kwenye screen lock
Mengine Hapo ni juu yako kufanya setting unazo zitaka upendavyo ili ionekane kama utakavyo, bahada ya kufanya ilo panda juu kwenye neno “Preview” ingia apo ili kuhakikisha imekaa jinsi utakavyo. Slide kwenda kulia.
6.     Bahada ya kumaliza setting za iyo sasa fungua “control center”
Ifanye ianze kufanya kazi kwa kuweka on neno “start service”

setting nyingine ni juu yako kuiweka utakavyooo,na bahada yak u activate “control center”
inapatikana chini mwa screen yako pia unaweza badili eneo la kukaa iyooo key ya control center kama nilivyo sema ni juu yako, na itakua kama hivii
Then ukiona imekaa upendavyo iludishe chini na enjoy iphone OS kwenye android yako na unaweza ludi kwenye system yako ya kawaida ya android any time you want just unstall Clean UI.

  Asante na usisahau ku share, like or comment.

THE ONE TECHRISE OF TECHNOLOGY.

No comments:

Post a Comment

Featured post

HOME DOCTOR

Get Your Copy The Health care That Every Household Should Know In a emergency Situation When Help is not on the way, No Doctor, No Help From...