JINSI YA KUZI FLASH MODEM ZA HUAWEI E303 Hi Link
Habari zenu wana MASYSTEM ,
Naitwa Shedrack raphael.
hope mko njema sana, tuendelee na hili somo leo
Naitwa Shedrack raphael.
hope mko njema sana, tuendelee na hili somo leo
tunazungumzia Modem huawei e303 Hi-link ambayo imeguwa gumzo sana,cha kingine imekuja
kitofauti na wengi tulivyozoea ila leo ndani ya complex tunaenda iflash hiyo modem na kuwa
permanent unlock, Kwanini nasema hizi modemu ni tofauti, ni hii hazitumii normal Huawei
dashboard na mchezo mzima unakuwa connected na Na hata ukiiconnect kwenye PC, wao
wanakuwa wamedisable PORT na hutaweza kuiona ktk device manager under Ports, Modems or
Network adapter, so ukisema uiunlock kwa kutumia Flashing method kama za E303 kama zile za
mwanzo hautafanikiwa..
-Vodacom Huawei E303 Hi link modem ni customized Firmware so njia pekee ya kuiunlock ni
kwa kuflash tu
Kabla hujaunlock hakikisha una hivi vitu hapa chini
HUAWEI MOBILE PARTNER
Huawei E303 Hi Link Firmware
Universal MasterCode
Twende tuanze hapa na kazi ya kufanya port zionekane na iwe rahisi kuiflash, najua unawaza ni
jinsi gani utaweza enable port ambazo wamezidisable, ni rahisi sana tumia njia hii hapa wakati
ukiwa umechomeka modem yako tayari, Unachotakiwa kufanya tembelea hii link
http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html , Utakopotembela hiyo link modem ita
disconnect na kuconnect tena, na PORTS zitakuwa ENABLED.
Baada ya hiyo process modem yako itadetect two unknown devices maana windows inashindwa
kufahamu ni driver gani za kutumia kwenye hizo device. Hizo device mbili zitakuwa na
hardware ID hizi
USB\Vid_12d1&Pid_1442&MI_00
USB\Vid_12d1&Pid_1442&MI_01
Hizo drivers zinapatikana kwenye Mobile Partner, sema zinatakiwa kufanyiwa maujanja
Hizo drivers zinapatikana kwenye Mobile Partner, sema zinatakiwa kufanyiwa maujanja
kidogo ili ziweze kufanya kazi na Huawei HiLink.
Hii proces inafanywa mara moja, otherwise kama uta unistall Mobile Partner ndo itakubidi
urudie tena.
Nenda kwenye Mobile Partner na u-locate hili file “ewser2k.inf”, linapatikana kwenye
C:\Program Files\Mobile Partner\Driver\Driver\X86 kwa 32 Bit au
C:\Program Files (x86)\Mobile Partner\Driver\Driver\X64 kwa 64 Bit
Scroll mpaka kwenye [QcomSerialPort...] na uongeze hizi lines
%QcomDevice01%=QportInstall01,USB\VID_12d1&PID_1442&MI_00
%QcomDevice00%=QportInstall00, SB\VID_12d1&PID_1442&MI_01
Hii ni kufanya windows iweze kujua driver zipi za kutumia kwenye zile device zetu Na sehemu
nzuri ya kuweka hizo lines ni katikati ya PID_143E & PID_1448, na itakuwa kama hivi
Baada ya hapo sasa rudi kwenye Device Manager na kwa kila device zilizokuwa zimemiss fanya
ku-update driver zake, na ubrowse kwenye location ya “ewser2k.inf”. Baada ya hapo device
zetu zitaonekana na ports zao
ie, 3G PC UI Interface & 3G Application Interface ila hutaweza kuconnect na internet.
KATIKA HATUA ZA KUELEKEA MWISHO SASA INABIDI UFANYE HIYO MODEM
IFANYE DIAL KAMA MODEM ZINGINE SASA HAPA FUNGUA “TERMINAL” NA
UFUNGUE PORT YA 3G PC UI INTERFACE NA SEND HIZI AT COMMANDS KWENDA
KWENYE MODEM……
AT^U2DIAG=119
AT+CFUN=4
AT+CFUN=6
Kumbuka:
iwapo modem ports zinapotea nenda kwenye ile link
(http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html) na zitaonekana zikiwa na tayari
drivers installed
hii sehem c muhm sana kwakua tunaenda kuflash waweza skip tu.
JINSI YA KUIFLASH SASA HII HUAWEI HI-LINK
Kwa sasa modem yetu imesoma port tunaweza flash Fungua Universal MasterCode na tafuta
Flash code(password) kwa kutumia IMEI ya modem yako. Sasa cha kufanya run Huawei HiLink
Firmware kama kawaida tu, na tumia flash code kama password yako Subiri imalize hadi iandike
SUCCESSFUL...
Huawei HiLink modem is permanently unlocked na utaweza ku iconnect kwa kutumia normal
Huawei dashboard, pamoja natuliyofanya yote haya itabaki kuwa HiLink Modem!! Tumejaribu
na imefanya kazi cha muhimu zaingatia juu
kwa tatizo lolote wasiliana nami
designed by shedii @allrightsreceived
No comments:
Post a Comment